|
\v 1 Basi Pilato alimchukua Yesu na kumchapa. \v 2 Wale maaskari wakasokota miiba na kutengeneza taji. Wakaiweka juu ya kichwa cha Yesu na kumvalisha vazi la rangi ya zambarau. \v 3 Wakamjia na kusema, "Wewe mfalme wa Wayahudi! na kisha kumpiga kwa mikono yao. |