sw_jhn_text_ulb/18/38.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 38 Pilato akamwambia, "Kweli ni nini?" Naye alipokwisha sema haya akaenda kwa Wayahudi na kuwaambia "Siona katika lolote mtu huyu. \v 39 Ninyi mna utamaduni unaonifanya nimfunfungulie mfungwa mmoja wakati wa Pasaka. Je mnataka nimfungulie mfalme wa Wayahudi." \v 40 Kisha walipiga kelele wakisema, siyo huyu, tufungulie Baraba." Naye Baraba alikuwa mnyang'anyi.