sw_jhn_text_ulb/18/22.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 22 Yesu alipokwisha sema hivyo, mmoja wa wakuu aliyekuwa amesimama akampiga Yesu kwa mkono wake na kisha akasema, "Je, hivyo ndivyo inavyokupasa kumjibu kuhani mkuu?" \v 23 Naye Yesu akamjibu, "Kama nimesema jambo lolote baya basi uwe shahidi kwa ajili ya uovu, na kama nimemjibu vyema kwa nini kunipiga? \v 24 Ndipo Anasi alipompeleka Yesu kwa Kayafa kuhani mkuu akiwa amefungwa.