sw_jhn_text_ulb/18/19.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 19 Kuhani mkuu alimhoji Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. \v 20 Yesu akamjbu, "Nimeuambia waziwazi ulimwengu; Mimi nilifundisha mara kwa mara kwenye masinagogi na hekaluni mahali ambapo wayahudi hukusanyika. Nami sikusema lolote katika siri. \v 21 Kwa nini mliniuliza? Waulizeni walionisikiliza juu ya kile nilichosema. Hawa watu wanajua mambo yale niliyosema.