sw_jhn_text_ulb/18/08.txt

1 line
237 B
Plaintext

\v 8 Yesu akawajibu, "Nimekwisha kuwaambia kuwa Mimi ndiye; kwa hiyo kama mnanitafuta mimi, waacheni hawa wengine waende." \v 9 Haya yalikuwa hivyo ili lile neno litimilike; pale aliposema; "Katika wale ulionipa, sikumpoteza hata mmoja."