sw_jhn_text_ulb/18/04.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 4 Naye Yesu, hali akijua kila kitu kilichokuwa kikifanyika dhidi yake, alijitokeza mbele na akawauliza, "Ni nani mnayemtafuta?" \v 5 Nao wakamjibu, "Yesu Mnazareth." Yesu akawaambia, "Mimi ndiye" Naye Yuda aliyemsaliti, alikuwa amesimama pamoja na wale askari.