sw_jhn_text_ulb/17/20.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 20 Si hawa tu ninaowaombea, bali na wale watakaoamini kupitia neno lao \v 21 ili kwamba wao nao wawe na umoja, kama vila wewe Baba, ulivyo ndani yangu nami ndani yako. Nawaombea ili kwamba wao pia waweze kuwa ndani yetu ili ulimwengu uweze kuamini kuwa wewe ndiye uliyenituma.