sw_jhn_text_ulb/16/17.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 17 Baadhi ya wanafunzi wake wakaambizana, "Ni nini anachotuambia, "muda mfupi, na hamtaniona tena,' na, kisha, mda mfupi mtaniona,' na, 'kwa sababu naenda kwa Baba?" \v 18 Kwa hiyo wakasema, "Ni kitu gani anachosema, 'Bado mda mfupi'? Hatujui asemavyo."