sw_jhn_text_ulb/16/08.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 8 Akija, huyo mfariji ataubitisha ulimwengu kuhusiana na dhambi, kuhusiana na haki na kuhusiana na hukumu. \v 9 Kuhusiana na dhambi, kwa sababu hawakuniamini mimi, \v 10 kuhusiana na haki, kwa sababu naenda kwa baba, na hamtaniona tena; \v 11 na kuhusiana na hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amehukumiwa.