1 line
316 B
Plaintext
1 line
316 B
Plaintext
\v 5 Japokuwa, sasa naenda kwa yule aliyenituma; lakini hakuna kati yenu anayeniuliza, "Unaenda wapi?" \v 6 Kwa sababu nimesema maneno haya kwenu, huzuni imejaa mioyoni mwenu. \v 7 Hata hivyo, nawaambia ukweli: ni vyema kwenu nikiondoka; kwa maana nisipoondoka, mfariji hatakuja kwen; lakini nikienda ntamtuma kwenu. |