sw_jhn_text_ulb/16/03.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 3 Watawatendea mambo haya kwa sababu hawamfahamu Baba wala hawanifahamu mimi. \v 4 Nimewaambia mambo haya ili kwamba wakati ukifika wa haya kutokea, mnaweza kuyakumbuka na jinsi nilivyowaambia muweze wao. Sikuwaambia kuhusu mambo haya tangu mwanzo kwa sababu nilikuwa pamoja nanyi.