sw_jhn_text_ulb/15/14.txt

1 line
230 B
Plaintext

\v 14 Ninyi ni rafiki zangu ikiwa mtafanya yale niwaagizayo. \v 15 Siwaiti watumwa, kwa kuwa mtumwa hajui kile afanyacho bwana wake. Nimewaita ninyi marafiki, kwa sababu nimewajulisheni mambo yote ambayo nimesikia kutoka kwa Baba.