sw_jhn_text_ulb/15/03.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 3 Ninyi tayari mmekuwa safi kwa sababu ya ujumbe ambao nimekwisha waambia. \v 4 Mkae ndani yangu, na mimi ndani yenu. Kama tawi lisivyoweza kuzaa peke yake lisipo kuwa katika mzabibu, kadhalika nayi, msipo kaa ndani yangu.