sw_jhn_text_ulb/15/01.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 1 Mimi ni mzabibu wa huu kweli, na baba yangu ni mkulima wa mzabibu. \v 2 Kila tawi ndani yangu ambalo halizai tunda, na husafisha kila tawi ambalo huzaa tunda huliondoa ili kwamba liweze kuzaa zaidi.