sw_jhn_text_ulb/14/18.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 18 Sitawaacha peke yenu; Nitarudi kwenu. \v 19 Kwa muda kitambo, ulimwengu hautaniona tena, lakini ninyi mwaniona. Kwa sababu ninaishi, nanyi mtaishi pia. \v 20 Katika siku hiyo mtajua kwamba mimi niko ndani ya Baba, na kwamba ninyi mko ndani yangu, na kwamba mimi niko ndani yenu.