sw_jhn_text_ulb/14/01.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 1 "Usiruhusu moyo wako kuwa katika mahangaiko. Unamwamini Mungu niamini pia na mimi. \v 2 Katika nyumba ya Baba yangu kuna makazi mengi ya kukaa; kama isingekuwa hivyo, ningekuwa nimekuambia, kwa vile ninakwenda kukuandalia mahali kwa ajili yako. \v 3 Kama nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena kuwakaribisha kwangu, ili mahali nilipo pia nanyi muwepo.