sw_jhn_text_ulb/13/31.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 31 Wakati Yuda alipokuwa ameondoka, Yesu alisema, "Sasa mwana wa Adam ametukuzwa, na Mungu ametukuzwa katika yeye. \v 32 Mungu atamtukuza katika yeye mwenyewe, na atamtukuza haraka. \v 33 Watoto wadogo, niko pamoja nanyi kitambo kidogo. Mtanitafuta, na kama nilivyowambia Wayahudi, 'Niendako, hamuwezi kuja.' sasa nawambia ninyi, pia.