sw_jhn_text_ulb/13/23.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 23 Kulikuwa katika meza, mmoja wa wanafunzi wake ameegama kifuani mwa Yesu yule ambaye Yesu alimpenda. \v 24 Simoni Petro alimuuliza mwanafunzi huyu na kusema, "Twambie ni yupi ambaye kwake anazungumza." \v 25 Mwanafunzi yule aliye egama kifuani mwa Yesu na akamwambia, "Bwana, ni nani?"