sw_jhn_text_ulb/13/12.txt

1 line
413 B
Plaintext

\v 12 Wakati Yesu alipokuwa amewaosha miguu yao na akiisha chukua vazi lake na kukaa tena, aliwaambia, "Je Mnaelewa kile ambacho nimewafanyia? \v 13 Mnaniita mimi "Mwalimu" na Bwana hii mnasema kweli, maana ndivyo nilivyo. \v 14 Ikiwa mimi Bwana na mwalimu, nimewaosha miguu yenu, ninyi pia imewapasa kuwaosha wenzenu miguu. \v 15 Kwa kuwa nimewapa mfano ili kwamba ninyi pia mfanye kama mimi nilivyo fanya kwenu.