sw_jhn_text_ulb/12/41.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 41 Isaya alisema maneno hayo kwa kuwa aliuona utukufu wa Yesu na akanena habari zake. \v 42 Walakini, hata wakuu wengi walimwamini Yesu; lakini kwa sababu ya Mafarisayo, hawakukiri ili wasije wakatengwa na sinagogi. \v 43 Walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu.