sw_jhn_text_ulb/12/39.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 39 Ndio sababu wao hawakuamini, maana Isaya alisema tena, \v 40 "Amewapofusha macho, na ameifanya migumu mioyo yao; wasije wakaona kwa macho yao na wakafahamu kwa mioyo yao, na wakaongoka nami nikawaponya."