sw_jhn_text_ulb/12/30.txt

1 line
166 B
Plaintext

\v 30 Yesu akajibu na kusema, "Sauti hii haikuja kwa ajili yangu, bali kwa ajili yenu. \v 31 Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo: Sasa mkuu wa ulimwngu huu atatupwa nje.