sw_jhn_text_ulb/12/27.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 27 Sasa roho yangu imefadhaika: nami nisemeje? 'Baba, uniokoe katika saa hii'? Lakini ni kwa kusudi hii nimeifikia saa hii. \v 28 Baba, ulitukuze jina lako." Kisha sauti ikaja kutoka mbinguni na kusema, "Nimelitukuza nami nitalitukuza tena." \v 29 Basi mkutano uliosimama karibu naye wakasikia, wakasema ya kwamba kumekuwa ngurumo. Wengine walisema, "Malaika amesema naye."