sw_jhn_text_ulb/12/23.txt

1 line
224 B
Plaintext

\v 23 Yesu akawajibu akasema, "Saa imefika kwa ajili ya Mwana wa Adamu kutukuzwa. \v 24 Amini, amini, nawaambia, chembe ya ngano isipoanguka katika nchi ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, itazaa matunda mengi.