sw_jhn_text_ulb/12/17.txt

1 line
370 B
Plaintext

\v 17 Basi lile kundi la watu waliokuwepo pamoja na Yesu wakati alipomwita Lazaro kutoka kaburini, wakashuhudia kwa wengine. \v 18 Na ilikuwa kwa sababu hii pia kwamba kundi la watu walikwenda kumlaki kwasababu walisikia ya kwamba ameifanya ishara hiyo. \v 19 Mafarisayo wakasemezana wao kwa wao, "Tazama, sasa hamwezi kufanya lolote; tazama, ulimwengu umekwenda kwake."