sw_jhn_text_ulb/12/12.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 12 Na siku ya pili yake umati mkubwa walikuja kwenye sikukuu. Waliposikia ya kuwa Yesu anakuja Yerusalemu, \v 13 walichukua matawi ya miti ya mitende na kutoka nje kwenda kumlaki na wakapiga kelele, "Hosana! Amebarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli."