sw_jhn_text_ulb/11/45.txt

1 line
174 B
Plaintext

\v 45 Ndipo Wayahudi wengi waliokuja kwa Mariamu na kuona Yesu alichofanya, walimwamini; \v 46 lakini baadhi yao walienda kwa Mafarisayo na kuwaambia mambo aliyoyafanya Yesu.