sw_jhn_text_ulb/11/41.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 41 Kwa hiyo wakaliondoa jiwe. Yesu akainua macho yake juu na kusema, "Baba, nakushukuru kwa kuwa unanisikiliza. \v 42 Nilijua kwamba unanisikia mara zote, lakini ni kwa sababu ya kusanyiko ambalo limesimama kunizunguka kwamba nimesema haya, ili kwamba wapate kuamini kuwa wewe umenituma."