sw_jhn_text_ulb/11/36.txt

1 line
198 B
Plaintext

\v 36 Ndipo Wayahudi wakasema, "Angalia alivyompenda Lazaro!" \v 37 Lakini wengine kati yao wakasema, "Siyo huyu, mtu aliyeyafumbua macho ya yule aliyekuwa kipofu, hakuweza kumfanya huyu mtu asife?"