sw_jhn_text_ulb/11/27.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 27 Akamwambia, "Ndiyo, Bwana naamini kwamba wewe ni Kristo, Mwana wa Mungu, yeye ajaye katika ulimwengu." \v 28 Alipokwisha kusema hili, alienda zake na kumwita dada yake Mariamu faraghani. Akasema, "Mwalimu yuko hapa na anakuita." \v 29 Mariamu aliposikia haya, aliinuka kwa haraka na kwenda kwa Yesu.