sw_jhn_text_ulb/11/24.txt

1 line
254 B
Plaintext

\v 24 Martha akamwambia, najua kwamba atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho." \v 25 Yesu akamwambia, "Mimi ni ufufuo na uzima; yeye aniaminiye, ingawa atakufa, hata hivyo atakuwa anaishi; \v 26 na yeye aishiye na kuniamini mimi hatakufa. Unaamini hili?"