sw_jhn_text_ulb/11/17.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 17 Wakati Yesu alipokuja, alikuta kwamba Lazaro tayari amekwishakuwa kaburini siku nne. \v 18 Nayo Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu kama kilomita arobaini na tano hivi. \v 19 Wengi kati ya Wayahudi wakaja kwa Martha na Mariamu kuwafariji kwa ajili ya ndugu yao. \v 20 Ndipo Martha aliposikia kuwa Yesu anakuja, alienda kukutana naye, lakini Mariamu aliendelea kukaa nyumbani.