sw_jhn_text_ulb/11/08.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 8 Wanafunzi wakamwambia, "Rabi, Wayahudi walikuwa wakijaribu kukuponda mawe, na wewe unataka kurudi huko tena?" \v 9 Yesu akawajibu, "Saa za mchana si kumi na mbili? Mtu anapotembea mchana hawezi kujikwaa, kwa sababu anaona kwa nuru ya mchana.