sw_jhn_text_ulb/11/05.txt

1 line
214 B
Plaintext

\v 5 Yesu alimpenda Martha na dada yake na Lazaro. \v 6 Aliposikia kuwa Lazaro ni mgonjwa, Yesu alikaa siku mbili zaidi mahali alipokuwa. \v 7 Ndipo baada ya hili aliwaambia wanafunzi wake, "Twendeni Uyahudi tena."