sw_jhn_text_ulb/10/37.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 37 "Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini. \v 38 Hata hivyo, ikiwa ninazifanya, hata kama hamniamini, ziaminini kazi ili kwamba muweze kujua na kufahamu kwamba Baba yuko ndani yangu na mimi niko ndani ya Baba." \v 39 Wakajaribu tena kumkamata Yesu, lakini alienda zake kutoka mikononi mwao.