sw_jhn_text_ulb/10/29.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 29 Baba yangu, aliyenipa hao, ni mkuu kuliko wengine wote, na hakuna hata mmoja aliye na uwezo wa kuwanyakua kutoka mkononi mwa Baba. \v 30 Mimi na Baba tu mmoja." \v 31 Wakabeba mawe ili wamponde tena.