sw_jhn_text_ulb/10/22.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 22 Ndipo ikaja Sikukuu ya Kuwekwa Wakfu Yerusalemu. \v 23 Ulikuwa wakati wa baridi, na Yesu alikuwa akitembea hekaluni katika ukumbi wa Selemani. \v 24 Ndipo Wayahudi walipomzunguka na kumwambia, "Mpaka lini utatuweka katika mashaka? kama wewe ni Kristo, tuambie wazi.