sw_jhn_text_ulb/10/05.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 5 Hawatamfuata mgeni lakini badala yake watamuepuka, kwa sababu hawazijui sauti za wageni." \v 6 Yesu alisema mfano huu kwao, lakini hawakuyaelewa mambo haya ambayo alikuwa akisema kwao.