sw_jhn_text_ulb/10/01.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 1 Amin, Amini nawaambieni, yule asiyeingia kwa kupitia mlango wa zizi la kondoo, lakini anapanda kwa njia nyingine, mtu huyo ni mwizi na mnyang'anyi. \v 2 Yeye aingiaye mlangoni ni mchungaji wa kondoo.