sw_jhn_text_ulb/09/24.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 24 Kwa hiyo kwa mara ya pili, walimwita yule mtu aliyewahi kuwa kipofu na kumwambia, "Mpe Mungu utukufu. Tunajua kwamba mtu huyu ni mwenye dhambi." \v 25 Ndipo yule mtu alijibu, "Awe ni mwenye dhambi, mimi sijui. Kitu kimoja ninachokijua: nilikuwa kipofu, na sasa ninaona."