sw_jhn_text_ulb/09/22.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 22 Wazazi wake walisema mambo haya, kwa sababu waliwaogopa Wayahudi. Kwa vile Wayahudi walikuwa wamekubaliana tayari kuwa, ikiwa yeyote atakiri kuwa Yesu ni Kristo, atatengwa na Sinagogi. \v 23 Kwa sababu hii, wazazi wake walisema, "Ni mtu mzima, mwulizeni yeye."