sw_jhn_text_ulb/09/06.txt

1 line
274 B
Plaintext

\v 6 Baada ya Yesu kusema maneno haya, alitema kwenye ardhi, alifanya tope kwa mate, na akampaka yule mtu machoni na lile tope. \v 7 Akamwambia, nenda kaoge katika kisima cha Siloam (Inayotafsiriwa kama 'aliyetumwa')." Kwa hiyo huyo mtu alienda, akanawa, na akarudi, anaona.