sw_jhn_text_ulb/09/03.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 3 Yesu akawajibu, "Siyo huyu mtu wala wazazi wake waliotenda dhambi, bali kazi za Mungu zipate kufunuliwa kupitia kwake. \v 4 Tunapaswa kufanya kazi zake yeye aliyenituma wakati bado ni mchana. Usiku waja wakati ambapo hakuna atakayeweza kufanya kazi. \v 5 Wakati niwapo ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu."