sw_jhn_text_ulb/08/54.txt

1 line
382 B
Plaintext

\v 54 Yesu akajibu, "Ikiwa nitajitukuza mwenyewe, utukufu wangu ni bure; ni Baba yangu anayenitukuza - yule mnayemsema kuwa ni Mungu wenu. \v 55 Ninyi hamjamjua yeye, lakini mimi namjua yeye. Ikiwa nitasema, 'simjui,' nitakuwa kama nyinyi, muongo. Hata hivyo, ninamjua na maneno yake nimeyashika. \v 56 Baba yenu Abrahamu alishangilia atakavyoiona siku yangu; aliiona na alifurahi."