sw_jhn_text_ulb/08/39.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 39 Walijibu na kumwambia, "Baba yetu ni Abrahamu." Yesu akawaambia, Kama mngelikuwa watoto wa Ibrahimu, mngefanya kazi za Ibrahimu. \v 40 Hata sasa mnatafuta kuniua, mtu aliyewaambia ukweli kwamba nilisikia kutoka kwa Mungu. Abrahamu hakufanya hivi. \v 41 Mnafanya kazi za baba yenu." Wakamwambia, "Hatukuzaliwa katika uzinzi, tunaye Baba mmoja, Mungu."