sw_jhn_text_ulb/08/34.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 34 Yesu aliwajibu, "Amini, amini, nawaambia, kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. \v 35 Mtumwa hakai nyumbani wakati wote; mwana hudumu siku zote. \v 36 Kwa hiyo, ikiwa Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kabisa."