sw_jhn_text_ulb/08/23.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 23 Yesu akawaambia, "Mnatoka chini; mimi natoka juu. Ninyi ni wa Ulimwengu huu; mimi si wa ulimwengu huu. \v 24 Kwa hiyo, naliwaambieni kuwa mtakufa katika dhambi zenu. Vinginevyo muamini kuwa MIMI NDIYE, mtakufa katika dhambi zenu".