sw_jhn_text_ulb/08/14.txt

1 line
366 B
Plaintext

\v 14 Yesu alijibu akawaambia, "Hata kama nitajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu ni kweli. Ninajua mahali nilikotoka na kule ninakoenda, lakini ninyi hamjui mahali ninapotoka au kule ninakoenda. \v 15 Nyinyi mnahukumu kimwili; mimi simhukumu yeyote. \v 16 Mimi hata nikihukumu, hukumu yangu ni kweli kwa sababu siko peke yangu, bali niko pamoja na baba aliyenituma.