sw_jhn_text_ulb/08/12.txt

1 line
223 B
Plaintext

\v 12 Tena Yesu akazungumza na watu akisema, "Mimi ni nuru ya ulimwengu; yeye anifuataye hatatembea gizani bali atakuwa na nuru ya uzima." \v 13 Mafarisayo wakamwambia, "Unajishuhudia mwenyewe; ushuhuda wako siyo wa kweli."