sw_jhn_text_ulb/08/09.txt

1 line
470 B
Plaintext

\v 9 (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Waliposikia hayo, waliondoka mmoja baada ya mwingine, kuanzia aliye mzee. Mwishowe Yesu aliachwa peke yake, pamoja na mwanamke aliyekuwa katikati yao. \v 10 Yesu alisimama na kumwambia, "Mwanamke, waliokushitaki wako wapi? Hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?" \v 11 Akasema, "Hakuna hata mmoja Bwana." Yesu akasema, "Hata mimi sikuhukumu. Nenda njia yako; kuanzia sasa na kuendelea usitende dhambi tena."